6/15/2004

waafrika na viongozi wao

Jana nimebishana na bwana mmoja hapa. Yeye ni Mmarekani mweupe ambaye amefika Dar Es Salaam, Zanzibar, Ghana, Afrika Kusini, na Botswana. Tumeongea masaa matatu juu ya Afrika. Hoja yake kuu ni hii: kwanini waafrika wanaawaacha viongozi wao wanauza mali asili kwa faida yao wenyewe na familia zao?

Hivi kwanini tunawaacha hawa wezi madarakani??????
Msiwaone na suti zao na sura zilizonawiri. Wezi wote hao!

1 Maoni Yako:

At 2/14/2005 07:14:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Ni kwa sababu wanashirikiana na vibaka wenzao weupe kuwafichia wizi wao kama wasingekuwa na pahari pa kuficha wasingeiba

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com