10/16/2005

Zisome Fikra za Nyerere

Oktoba 14 mwaka jana niliweka kiungo cha mahojiano kati ya mwanaharakati na mwanazuoni Ikaweba Bunting na Mwalimu Nyerere (ambaye aliwahi kuwa baba mkwe wake Ikaweba) yaliyotolewa ndani ya gazeti la the New Internationalist. Kwa kumbukumbu ya mzee wetu naomba usome niliyoandika mwaka jana. Bonyeza hapa.

1 Maoni Yako:

At 10/17/2005 12:19:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Jamani ninaomba kuuliza tena naomba mnipe majibu ya kina. Ikiwa kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa na sifa zote hizi kwa nini hakuandika (autobiography) au kuandikiwa (biography) shajari ya maisha yake?

Nasubiri Majibu yenu,
F MtiMkubwa Tungaraza.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com