10/16/2005

Blogu Toka Washington DC

Nimesikiliza matangazo niliyorusha jana toka kwenye Vuguvugu la Mamilioni Zaidi. Sikupenda ubora wake hata kidogo. Simu niliyotumia haikuweza kudaka vizuri. Baadhi nitazitoa. Hizi ni zile ambazo huwezi kusikia chochote. Na nyingine, ingawa nazo hazisikiki vizuri, nitazibakiza na kuweka vichwa vya habari. Nitakachofanya ni kuandika mambo ya msingi yaliyotokea na kuzungumziwa. Kwahiyo samahani kwa mapungufu ya sauti.

2 Maoni Yako:

At 10/16/2005 03:40:00 PM, Blogger Fatma karama said...

nikweli hazisikiki vizuri,

 
At 10/17/2005 06:42:00 AM, Blogger Ndesanjo Macha said...

Fatma, samahani sana. Sina la kufanya. Sikujua kuwa sauti ingekuwa mbaya namna hii.

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com