6/13/2005

MAREKANI INAHITAJI MSAADA KUONDOA NJAA!

Nimeamua kuwasiliana na wanamuziki wa Afrika ili wafanye onyesho la kuchangisha fedha za kusaidia watoto wanaokumbwa na baa la njaa Marekani. Si mnakumbuka wao walitusaidia tulipokumbwa na baa la njaa kule Ethiopia? Basi nasi lazima turudishe fadhila. Kama unashangaa iweje Marekani, nchi "tajiri" kuliko zote duniani ambapo wananchi wake wamejaza mapesa mfukoni, iwe na tatizo la njaa...nenda hapa. Kisha watembelee hawa jamaa.

1 Maoni Yako:

At 6/19/2005 09:54:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Nashukuru sana kwa kujua laana ya njaa ipo zaidi huko. Kwa sababu kama kupiga Irak na kutafuta silaha zisizoonekana au kupiga Afghanistan kumtafuta Osama asiyeonekana was a first priority; laana la ya unyama huo ni kubwa.
Naomba unisajili nami nije kuimba.
Rafiki,
Onael Mandambi
Mbokomu Korini Kusini Manambeni Moshi Kilimanjaro

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com