4/18/2005

SIKILIZA REDIO YA MTANDAONI: JAMBO RADIO

Nimekutana na hii redio ya mtandaoni wakati nikitembelea tovuti ya www.uchaguzitanzania.com. Hivi sasa ninawasikiliza washairi wa mijini (huku ughaibuni wanawaita "urban poets") wakishusha aya bin aya. Sijui jamaa hawa ni akina nani. Ila jamaa wanaandika mashairi sio mchezo. Nadhani huyu ni Juma Nature. Tembelea redio hii hapa.

1 Maoni Yako:

At 3/13/2006 12:17:00 AM, Anonymous Mac said...

Kaka upo? Jambo Radio inapatikana thru www.JamboTanzania.net as our homepage. Pia tunaweza kukupa free POP3 email kwakuwa umetutangza. Nakuwa nimebanwa sana na kazi lakini sikosi kusoma makala zako magazetini. Naomba utusaidie tupate sponsors kwakuwa sisi inatuwia vigumu kuendelea kulipia server mbili (ya chat na radio).
Nakutakia siku njema yenye mafanikio.

Mac
Server Admin
irc.jambotanzania.net

 

Post a Comment

Links to this post:

Create a Link

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com