8/12/2005

Mwanablogu mwingine wa Kiswahili toka Kanada

Jeff Msangi ni Mtanzania anayesoma katika Chuo Kikuu cha York nchini Kanada. Pia ni mwanasafu wa gazeti la Tanzania Daima linalotolewa nchini Tanzania. "Ugonjwa" wa kublogu umemkumba. Kaanza kublogu hapa. Mtembelee na kumkaribisha.

2 Maoni Yako:

At 8/12/2005 09:38:00 AM, Blogger Rama Msangi said...

Namkaribisha sana kaka yangu Jeff katika ulimwengu wa Blog. Pia nimekuwa nikitafakari sana hawa jamaa zetu uliowaita WEVI WA AFRIKA kuwa wanafanya nini Ikulu na kubaini ukweli kuwa wako hapo maana ndio panapowafaa kwa sasa. Ndio, unadhani baada ya kuiba vya kutosha toka walipokuwa watendaji wa vijiji, kata, tarafa, wabunge na mawaziri, wataenda wapi tena zaidi ya hapo???

 
At 8/15/2005 09:55:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Hongera sana Ndesanjo Macha

 

Post a Comment

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com