8/09/2005

Uislamu na Ukristo Dini Ipi ya Kweli?

Sijaweka makala zangu muda mrefu. Leo naweka makala mbili mpya. Moja inakuuliza kama uliwahi kukaribishwa kwenye ndoa hizi. Nyingine inatokana na swali ambalo nimeulizwa mara nyingi sana na wasomaji: Je Uislamu na Ukristo Dini Ipi ya Kweli?

5 Maoni Yako:

At 8/11/2005 10:49:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Habarini wapenzi wasomaji wenzangu, kwa yeyote anayetaka kufungua makaya Padri Karugendo inayosema Nyerere Hakuwa Malaika yenye anuani "http://home.ripway.com/2005-2/261369/NYERERE_HAKUWA_MALAIKA_LAKINI.do" basi ongeza herufi "c" pale mwisho wa .do na itasomeka .doc,bofya kifungo cha "Enter" ama hapo utajisomea makala bila shaka, Poleni kwa usumbufu wasomaji wenzangu "Sakour Soud"

 
At 8/12/2005 08:59:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Ee bwana Macha, kazi zako ni nzuri. Ukweli ni kwamba tunahitaji watu wenye mawazo kama yako ili tuweze kuendelea. Ninasisimuka sana kusoma mitazamo yako kuhusu masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa na kadhalika.Nadhani umefika wakati tukubali kugeuka na kuacha kuwamaidi hawa wazungu maana wanatulostisha sana.

 
At 8/12/2005 09:00:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Hongera sana kwa kazi nzuri ya uandishi na upashaji ukweli.Mengi uandikayo ni kweli tupu.

 
At 8/15/2005 09:54:00 AM, Anonymous Anonymous said...

Nimefurahi sana kupitia webu yako. Keep it up!!!!!!!!!
Julius K
University of Dar
Faculty of Commerce and Management

 
At 8/19/2005 03:54:00 AM, Blogger Hector Mongi said...

Asante kwa makala nzuri. Niliifurahia sana makala yenye kichwa hiki cha habari katika Mwananchi Jumapili ya tarehe 31/7/2005. Ukweli ni kwamba zipo tofauti nyingi ndani na kati ya dini hizi. Ni jukumu la muumini mwenyewe kupima na kufanya uamuzi. Jambo linalofanana na hili ambalo ningemwomba Macha na wanablogu wengine tulichambue ni nafasi ya dini hizi VS imani asilia katika kuimarisha umoja na amani nchini (Tanzania). Tofauti na huko nyuma ambapo dola haikuwa na dini, mwelekeo huu unazidi kutoweka. Wanasiasa wameanza kuzikumbatia dini kama mashaua za kuwavusha kisiasa. Viongozi wa dininaowanakumbatia siasa kwa sababu mbalimbali. Tuujadili mwenendo huu, ni wa hatari kuliko. Umejificha lakini ni bomu litakalokuja kutulipukia. TUWE NA TAHADHARI KABLA YA HATARI.

 

Post a Comment

<< Home

FREE hit counter and Internet traffic statistics from freestats.com